MAJANGA IMENIPA DILI LA KUFANYA MOVIE SOUTH A – SNURA

Snura

MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi amedai kuwa muziki ulimpa dili ya kwenda kurekodi filamu Afrika ya Kusini, anasema kuwa watayarishaji wa filamu ya Tandeka iliyorekodi jijini Pretoria kwa kuwashirikisha wasanii watanzania waishio Afrika [Read More]

ZIFF YATAJA MAJINA WASHIRIKI SEMINA

Ziff 2013

TAMASHA kubwa la filamu Zanzibar International Film Festival limetaja majina ya washiriki watakaohudhuria mafunzo ya utengenezaji wa filamu katika vipengele tofauti tofauti pamoja na wale ambao wamelipiwa na wadhamini na washiriki wengine watajihudumia gharama husika. Script Writing Workshop: (Wamedhaminiwa) 1. [Read More]

DOKII AKIMBIZA NA WIMBO WA WELCOME OBAMA

Dokii akiwa na kundi lake la Muziki

MWIGIZAJI na mjasiriamali mbunifu Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameonyesha kipaji cha hali ya juu baada ya kuandika na kurekodi nyimbo maalumu ya kumkaribisha Rais wa Marekeni Barrak Obama, kazi ya msanii huyo inafanya vizuri na kupigwa kila kituo cha Redio na [Read More]

FILAMU YA SAFARI ITALETA TUZO YA KWELI- RICHIE

Filamu ya Safari anayojivunia Richie

MWIGIZAJI Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Single Mtambalike ‘Richie Richie’ anadai kuwa ameingiza filamu yake mpya ya Safari kwa ajili ya kuwania tuzo bora ambazo zitaandaliwa siku zijazo, Richie anaamini kuwa mchango wake katika tasnia ya filamu ni mkubwa [Read More]

BATULI KUJA NA FILAMU KWA AJILI YA MWEZI WA RAMADHANI

Batuli my

Msanii Batuli ambaye alicheza vizuri kwenye filamu ya Glory of Ramadhan akiwa na Ray,Dullah pamoja na Chuchu Hans. Hivi sasa anakupa news wewe shabiki wake kwamba anakuandalia filamu kwa ajili ya mwezi mtufu huo unaokuja. Labda Batuli alipenda sana nafasi [Read More]

speedcounter: how to make a website