WOLPER KUMUENZI KANUMBA

Msanii wa Bongo Movie nchini, Jackie Wolper amesema atatoa filamu itakayoshirikisha watoto waliokuwa wakiigiza na Kanumba ili kuenzi vitenda vya Kanumba vya kukuza vipaji vya watoto.
Filamu hiyo, iliyopewa jina la “After Death” inaelezea maisha ya marehemu Kanumba baada ya kifo chake. Baada ya kifo chake? Tusubiri tuone

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

speedcounter: how to make a website