HIZI NDO FILAMU NA COMEDY ZA BONGO AMBAZO ZIPO SOKONI KWA SASA

UYOGA UNAWEZA UKAWA MBOGA NZURI I LA WAKATI MWINGINE UKAWA NISUMUPIA KOBA (SINGLE MTAMBALIKE) AMEAMUA KUMNUNULIA MKEWE UYOGA KWAAJILI YA KUMFURAHISHA WAKALA. UNAJUA NINI KILICHOTOKEA???…
Casts: Single Mtambalike, Yvonne Cherryl
story – SINGLE MTAMBALIKE camera – HAMIS KOBA script – SINGLE MTAMBALIKE production – BULLS ENTERTAINMENT director – SINGLE MTAMBALIKE sound-AHMADA MPWANA production manager-SAIDI MBULI editor-HAMISI KOBA

 

Each person likes to have good life with much wealth but the majority accumulates much wealth illegally. I will never agree for what you have done and I will make revenge and take action in my hands so that i could have my mother’s property
Cast: Chuchu Hans, Steven Sandu, Suleiman Barafu, Ketty Rupia, Hidaya Njaidi
Story/ Script ISIKE J. SAMWEL production manager – FRANK KUSENHA executive producer – ISIKE ENTERTAINMENT production – GODFREY .E. JAMES director – SULEIMAN BARAFU

 

 

Madaraka na pesa ukitumia sawa waweza kwenda mbali, ila vyaweza kupeleka mambo yako kombo endapo ukitumia vibaya. MAPENZI, PESA NA WIVU nivitu vinavyotetemesha dunia, fuatilia katika filamu hii kinacbozungumziwa… MSIMAMO WANGU
Casts: Nuru Nassoro, Haji Salum, Mohamed Mwikongi, Grace Mapunda
Story/Script – Masoud Ally, Producer Nuru Nassoro, Executive Producer Malkia Film Company, DIrector Nuru Nassoro, Sound Masoud Ally, Cameraman Seif Punche

 

 

Baada ya kuwadharau wazazi wake nakupenda hanasa za dunia, kijana Mohamed yanamkuta makubwa asiyotarajia, kweli asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.
Cast: King Majuto & Mohamed Majuto

 

 

 

 

 

 

Udhaifu wa mwanamke na mahusiano na pesa vinaenda, hasa pale tamaa inapoendekezwa katika maisha.MAGARI anatumia mabavu ya pesa kufanya maovu katika familia yake MWANAUME HULKA inadhirisha haya…fuatilia…
Casts: Scania Ally, Babra, Mzee Magali, Yuster Nyakachara
Story Yuster Nyachara, Producer Yuster Nyachara, Camera Rama Kasongo,Script Zahra CHambo, Director Zahra Chombo, Executive Producer Eagles Entertainment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

speedcounter: how to make a website