WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND

Baada ya kuonekana akila bata na Diamond pande za kigoma,Mwanadada anayeongoza kwa ku’make headlines kwenye vyombo vya habari Wema Sepetu amefunguka juu ya inshu hiyo.
Wema amefunguka na kusema” hakuna mtu wakumfanya ashindwe kula bata na Diamond kwani anaamini kufanya hivyo ndiyo njia pekee ya kuwakata vilimi wale wanaozungumza vibaya kuhusu wao”Wema ameyasema hayo kupitia mdatandao fulani hivi.

One Response to WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND

  1. Well I really liked studying it. This article offered by you is very constructive for proper planning.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

speedcounter: how to make a website