H.baba na Frola Wasema Harusi Bado Kidogo


Mwigizaji wa filamu nchini pamoja na mwanamuziki wa Kizazi kipya Hamisi Ramadhani, hivi karibuni ameamua kuishi mbali kidogo na mpenzi wake Frola Mvungi kwaajili ya kupumzika kutokana na kuingia kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Aidha alipoulizwa kuhusu harusi msanii huyo alisema kwamba yeye na mpenzi wake kwa sasa wanajipanga kwaajili ya kutafuta maisha, hivyo harusi kwao itakuja pole pole tena bila ya kutangazwa sana, kama ilivyokuwa kwa Wastara na Sajuki. Pia alisema kwamba watu wengi wanatamani kujua harusi za wasanii ili waweze kutia maneno mpaka kuvunja ndoa ya mtu, jambo ambalo yeye kwake anaamini itakuwa tofuti kwani harusi yake itakuwa kimya sana. Aidha alisema kwa sasa yeye na mpenzi wake wameshakamilisha filamu ya MAMA WA KAMBO, na sasa ipo madukani. na kwa muda huu amesimamisha kazi zote za muziki mpaka atakapofungua mwakani

3 Responses to H.baba na Frola Wasema Harusi Bado Kidogo

  1. I really appreciate this post. I’ve been looking everywhere for this! Thank goodness I found it on Bing. You have made my day! Thx again

  2. This site is certainly instead helpful considering that I’m together with the second developing an online floral web-site irrespective of the fact that I am only commencing out being a result it is truly relatively little, nothing at all similar to this world wide web website. Can internet site link to some from the posts suitable here because they are fairly. Many many thanks considerably. Zoey Olsen

  3. Tarver says:

    I simply wanted to write down a quick remark to be able to appreciate you for all the remarkable tips you are giving out at this website. My extended internet search has at the end of the day been rewarded with extremely good suggestions to talk about with my neighbours. I would assume that we site visitors are quite blessed to be in a fantastic website with so many marvellous people with good principles. I feel very privileged to have come across your web page and look forward to tons of more amazing times reading here. Thanks once more for a lot of things.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

speedcounter: how to make a website