Mwigizaji Stive Nyerere kutoka kampuni ya Nyerere The Power anasema kwa sasa anakamilisha filamu yake ya Get Out, baada ya kukamilisha ile ya Long Time. Aidha amesema filamu hii imejaa kila aina vituko ambavyo watu wengine walikuwa wakivitamani kutoka kwake. Aidha alisema katika filamu hiyo pia yupo mwanadada Mainda pamoja na Shemsa Ford hizo picha chini wakiwa locationa siya kukosa hii.Salute kwa Mo, Gomesa kwa hizi Picha





It’s in point of fact a great and helpful piece of info. I’m glad that you just shared this useful info with us. Please stay us informed like this. Thank you for sharing.