Mzee Small Hali Yangu Saivi Afadhari

Mzee Small na Mkewe Bi Fatma Saidi

 

Mzee Small na Mkewe

 

Mwigizaji wa muda mrefu wa filamu za Vichekesho nchini Saidi Mohamed ‘Mzee Small’, amesema kwa sasa hali yake kidogo inaanza kuwa na afadhari baada ya kuanza kuingia Gym kwaajili ya kuchukuwa mazoezi ya viungo vyake ambavyo vimepata kiarusi kutokana na ugonjwa wa presha ya kushuka. Amesema picha ya X -ray, ambayo ilionyesha mkono wake wa kushoto ukiwa umeachana kidogo kwa upande wa juu ya bega, pia mguu wakushoto nao ukiwa mzito anabuluza kwa kidogo. Aidha pia amesema kwa sasa maisha yake yanategemea sana, msaada wa watu wanaoenda kumuona.

(Mzee Small na mkewe Fatma Saidi) Mzee Small alisema kwamba, ugonjwa huoaliupata June 17 aliporudi kutoka Mwanza akiwa na Bibi Chau, alipokuwa kwenye safari ya kukusanya wagonjwa wa ngozi Maarufu kama albino, ambao kwa sasa inafanywa na mzee Majuto .tzmoviestars.com tunamuombea apone haraka aweze kuendelea na kazi zake.

12 Responses to Mzee Small Hali Yangu Saivi Afadhari

 1. amy says:

  mungu atamsadia

 2. reymond says:

  kwaiyo hata hao aliyo anawafanyia kazi leo wametenga mungu lakini atamsaidia

 3. jo says:

  nahuyu jamani wamchangie kama wengine au ndo bongo movies mana kuna ubaguzi sana hasa katika hii tasnia ya filamu

 4. che says:

  pole sana mzee wetu mungu atakusaidia

 5. mima says:

  Inshallah mungu atamponya

 6. nai says:

  yani hata sijasikia kama mzee small anaumwa ndo najua leo kweli watu wanapendana wakiwa wazima wakumbuke huyu ndo muanzilishi wa vichekesho vya kibongo

 7. nai says:

  hapo angeumwa mwingine hadi kwenye magazeti ungeona lakini mzee small wana mwona kapitwa na wakati mungu atamsadia2

 8. abra says:

  Mzee huwa Piace sana mungu atamsaidia thanx sana kwa tzmoviestars.com kwa kutupa habari kama hizi big up

 9. sheby says:

  Mungu ataponya tu hii website inajitaidi kutujulisha mambo mengi

 10. alice says:

  Mungu atamjaalia mzee small tupo pamoja na wewe

 11. Buying a professional sports team

 12. Stephen King says:

  I precisely wanted to appreciate you again. I am not sure what I would’ve implemented in the absence of the entire aspects provided by you on that problem. It has been the intimidating problem in my circumstances, but coming across this well-written avenue you handled it made me to cry over gladness. Now i’m grateful for the work and in addition hope you find out what a powerful job that you’re undertaking educating the mediocre ones using your web blog. Most probably you’ve never met any of us.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

speedcounter: how to make a website