Wasanii Wa Filamu Walivyo Funika Fiesta Tanga

Aunt Ezekiel na Shilole Wakilisakata Sebene

 

Steve Akimshangaa Shilole alipo kuwa akifanya Vitu vyake Stejini

 

Wema Sepetu,Aunt Ezekiel,Shilole na JB.

 

Wasani Mahili kwenye tasnia ya Filamu hapa nchini nao walijumuika kwa pamoja kwenye uzinduzi wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,katika mkoa wa Tanga Picha kwa hisani ya Millard Ayo, wakiwa jukwaani kwa pamoja ni Wema Sepetu, Steve Nyerere,Jacob Steven a.k.a JB,pamoja na Aunt Ezekiel na Shilole  wakilisakata sebene

One Response to Wasanii Wa Filamu Walivyo Funika Fiesta Tanga

  1. Sony Ereader says:

    Hello There. I found your blog using msn. This is a really smartly written article. I will make sure to bookmark it and come back to learn extra of your useful info. Thank you for the post. I’ll definitely comeback.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

speedcounter: how to make a website