Diamond kuandamna na Wema katika shoo Mombasa

 

Super stars wa kibongo ambao kila kukicha wana make headlines kwa reasons tofauti nawazungumzia Super Celeb couples Couple Diamond na Wema Sepetu, wanatarajiwa kuelekea kisiwani Mombasa katika kitongoji cha malindi kwa ajili ya shoo.
Kwa mujibu wa taarifa ambayo iliripotiwa na moja ya magazeti ya Kenya Diamond ambaye jina lake halisi ni Abdul Naseeb, anatarajiwa kuongozana na aliyekuwa dem wake Wema Sepetu kwenye Club Party itakayofanyika Club Pata Pata mjini Malindi
haya tusubiri majibu

One Response to Diamond kuandamna na Wema katika shoo Mombasa

  1. wi says:

    Mmhh!!!kweli wametisha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

speedcounter: how to make a website